Patrice Motsepe Rais Mpya Caf-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Patrice Motsepe Rais Mpya Caf-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

BILIONEA wa Afrika Kusini, ambaye pia ni Mmiliki wa klabu ya Mamelodi Sundowns Patrice Motsepe, amechaguliwa bila kupingwa kuwa rais mpya wa Shirikisho la Soka  Afrika, CAF, kwenye mkutano mkuu wa uliofanyika  Machi 12 nchini Morocco.

 

Uchaguzi wake unafuatia makubaliano yaliyosimamiwa na Rais wa Shirikisho la Soka Duniani, FIFA, Gianni Infantino, wiki moja iliyopita, ambayo yanawawezesha wapinzani watatu wa Motsepe kuteuliwa kushika nyadhifa za umakamu wa rais wa CAF.

Akizungumza baada ya kuchaguliwa kwake, Motsepe ametoa wito wa kufanya kazi pamoja ili kuupeleka mbele mchezo wa soka barani Afrika na ameahidi kurejesha mafanikio yaliyowahi kupatikana kwenye kandanda miaka iliyopita.

 

Motsepe, ambaye ni mfanyabishara mwenye mafanikio makubwa lakini asiye na uzoefu mkubwa katika kusimamia kandanda, atamrithi Ahmad Ahmad aliyechaguliwa kuingoza CAF miaka minne iliyopita, lakini akaondolewa kwa tuhuma za rushwa.

The post Patrice Motsepe Rais Mpya Caf appeared first on Global Publishers.



Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz