Pablo Escobar Mwalifu wa Madawa ya Kulevya Aliyepiga Picha Ikulu ya Marekani Huku Anatafutwa na Polisi - EDUSPORTSTZ

Latest

Pablo Escobar Mwalifu wa Madawa ya Kulevya Aliyepiga Picha Ikulu ya Marekani Huku Anatafutwa na Polisi

Pichani Hapo Juu Ni Pablo Escobar Na Mwanae Juan.

Pablo Escobar alikua mfanyabiashara mkubwa sana wa madawa ya kulevya duniani. Alikuwa anasambaza na kumiliki soko la madawa ya kulevya kwa asilimia 80 duniani.

Sasa turudi kwenye hiyo picha apo juu. Hiyo picha ilipigwa mwaka 1981 nje ya geti la ikulu ya marekani (white house), kipindi hiko jamaa alikuwa ni muhalifu anaetafutwa sana na serikali ya Marekani (Most wanted criminal), lakini mwamba alipiga zake picha za kutosha na mapozi kama unavyoona, kisha akaondoka zake bila kustukiwa na mtu yeyote licha ya ulinzi mkali katika eneo ilo.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.