Nandy avunja ukimya, afunguka ishu ya Ukimwi - EDUSPORTSTZ

Latest

Nandy avunja ukimya, afunguka ishu ya Ukimwi

Msanii Nandy 'The African Princes' amevunja ukimya kwa kutaka watu waache kuumuliza kuhusu kudaiwa kuwa na ugonjwa wa Ukimwi kwa sababu itawafanya wale wanaoumwa kweli ugonjwa huo wajione sio binaadam wa kawaida.

Akitoa taarifa hiyo kwenye 'Insta Story' yake ya mtandao wa Instagram Nandy ameandika kuwa 

"Swali la Ukimwi pia muache kuniuliza otherwise unataka nikupunguzie kidogo na tuheshimiane, mnafanya hata wale wanaoumwa kweli wajione sio binaadam wa kawaida hofu ya Mungu itawale" amesema Nandy

Aidha Nandy ametoa taarifa nyingine ambayo inadhibitisha kuachana na Billnass ambapo anasema hataki kuulizwa kuhusu mahusiano tena na wampe muda wa miaka mitana tena.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz