Namungo Yaivutia Kasi Pyramids-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Namungo Yaivutia Kasi Pyramids-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

BAADA ya kupoteza mchezo wa kwanza hatua ya makundi katika Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Raja Casablanca, Kocha Mkuu wa Namungo, Hemed Morocco, amefunguka kuwa kwa sasa wamejikita na maandalizi kuelekea mchezo ujao dhidi ya Pyramids FC unaotarajiwa kupigwa Machi 17, mwaka huu.

Juzi Ijumaa, Namungo ilirejea Tanzania ikitokea Morocco ilipoenda kucheza na Raja Casablanca na kufungwa bao 1-0.

Kesho Jumatatu, kikosi hicho kinatarajia kuingia kambini kujiandaa na mechi dhidi ya Pyramids FC itakayochezwa Dar.

Akizungumza na Spoti Xtra, Morocco amesema: “Tumepoteza mchezo wetu wa kwanza lakini hilo halitukatishi tamaa, tunajipanga kwa ajili ya mchezo unaofuata dhidi ya Pyramids, tunajua utakuwa mchezo mgumu lakini tutafanya maandalizi ya kutosha ili tuweze kupata matokeo mazuri.

 

“Tutayafanyia maboresho makosa ambayo yalijitokeza kwenye mcheo wetu wa kwanza ambapo tulifanya makosa mengi kwenye eneo la ulinzi jambo lililopelekea tukaruhusu bao la mkwaju wa penalti.”Namungo inashiriki michuano hiyo kwa mara ya kwanza na imefanikiwa kutinga hatua ya makundi.

STORI: HUSSEIN MSOLEKA, DAR ES SALAAM

The post Namungo Yaivutia Kasi Pyramids appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz