Namungo: Nkana Hawatoki Kwa Mkapa-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Namungo: Nkana Hawatoki Kwa Mkapa-Michezoni leo

KIKOSI cha Namungo kinaendelea na mazoezi makali kujiandaa na mchezo wao wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Nkana kutokea Zambia, huku wakitamba kuwa Wazambia hao lazima wadondoshe pointi tatu kwa Mkapa.

 

Mchezo huo wa tatu kwa timu hizo unatarajiwa kupigwa keshokutwa Ijumaa, katika Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam.

 

Kwenye msimamo wa kundi D la michuano hiyo, Namungo inakamata nafasi ya tatu baada ya kupoteza michezo miwili ya kwanza, ambapo walifungwa bao 1-0 ugenini dhidi ya Raja Casablanca ya Morocco na kukubali kipigo cha mabao 2-0 nyumbani dhidi ya Pyramids FC ya Misri.

 

Akizungumza na Championi Jumatano, Ofisa Habari wa Namungo, Kindamba Namlia alisema: “Kikosi chetu kinaendelea vizuri na mazoezi ya kujiandaa na mchezo wetu wa Ijumaa dhidi ya wageni wetu Nkana kutokea Zambia.

 

“Mpaka sasa tumekamilisha asilimia kubwa ya maandalizi ya mchezo huo na tunasubiri muda wa mchezo ufike, kikosi chetu kiko kamili kwani idadi kubwa ya majeruhi tayari wamepona na wanaendelea na mazoezi japo tutaendelea kukosa huduma ya mshambuliaji wetu Bigirimana Blaise ambaye amekuwa na majeraha ya muda mrefu.”

STORI NA JOEL THOMAS, Dar es Salaam

 

The post Namungo: Nkana Hawatoki Kwa Mkapa appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz