Namungo Kuwavaa Pyramids Leo-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Namungo Kuwavaa Pyramids Leo-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

Kocha wa klabu ya Namungo, Hemed Suleiman Morocco amesema maandalizi ya mchezo wao dhidi ya klabu ya Pyramids ya nchini Misri utakaochezwa leo saa 10:00 jioni Machi 17, 2021 kwenye dimba la mkapa, yamekamilika na watapambania ili kupata alama tatu.

 

 

Akiongea mbele ya Wanahabari asubuhi ya jana tarehe 16 Machi 2021, Morocco amesema “Tunaiheshimu Pyramids, ni timu kubwa. Tunaenda kuikabili tukiwa na malengo ya kupata alama tatu. Hautakuwa mchezo rahisi ila tuko tayari”.

 

 

Baada ya kusema hayo, Morocco alithibitisha kumkosa mlinzi wake wa kulia, Haruna Shamte kutokana na mchezaji huyo kuoneshwa kadi nyekundu kwenye mchezo uliopita dhidi ya Raja Casablanca ambao Namungo walipoteza kwa bao 1-0.

 

 

Kwa upande wa Nahodha wa Pyramids, Abdallah El Said amesema “Ni mechi ngumu lakini si mara ya kwanza kuja Tanzania, hali ya hewa ni nzuri kwahiyo tumejipanga kupata ushindi”.

 

 

Namungo ipo kundi D ikiwa inashika mkia baada ya kupoteza mchezo wa kwanza, Nkana Red Devils ya nchini Zambia ipo nafasi ya tatu baada na wenyewe kupoteza mchezo wa kwanza, Pyramids nafasi ya pili wakiwa na alama sawa Raja Casablanca anayeongoza kundi.

The post Namungo Kuwavaa Pyramids Leo appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz