Namungo FC kuvaana na Pyramids leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Namungo FC kuvaana na Pyramids leoHEMED Morocco Seleman, Kocha Mkuu wa Klabu ya Namungo FC amesema kuwa wanahitaji pointi tatu mbele ya Klabu ya Pyramids leo kwenye mchezo wao wa hatua ya makundi.

Namungo inayowakilisha Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho, leo Machi 17 itakuwa Uwanja wa Mkapa kuikabili Pyramids ambapo ni mchezo wa pili.

Ule wa awali uliochezwa ugenini, Namungo ilipoteza kwa kufungwa bao moja bila dhidi ya Raja Casablanca hivyo leo wanakazi ya kufufua matumaini ya kutinga hatua ya robo.

Kwenye msimamo inakutana na Pyramids ambayo ina pointi tatu baada ya kushinda mbele ya Nkana FC huku Namungo ikiwa haijakusanya pointi kibindoni.

Morocco amesema:-“Tunaiheshimu Pyramids, ni timu kubwa. Tunaenda kuikabili tukiwa na malengo ya kupata alama tatu. Hautakuwa mchezo rahisi ila tuko tayari” .Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz