Mzee wa miaka 77 afariki kisimani - EDUSPORTSTZ

Latest

Mzee wa miaka 77 afariki kisimani

Mzee mmoja aliyefahamika kwa majina ya Joseph Rutabana mwenye umri wa miaka 77 mkazi wa kijiji cha Butairuka amepoteza maisha, baada ya kutumbukia katika kisima cha maji, kilichochimbwa katika eneo la Kanisa Katoliki Parokia ya Maruku, katika halmashauri ya wilaya ya Bukoba, mkoani Kagera.

Kaimu Mkuu wa jeshi la Zimamoto na Uokoaji katika wilaya ya Bukoba, Mkaguzi Msaidizi Abrahman Ngaugia, amesema kuwa walipata taarifa za kwenda kufanya maokozi saa kumi mchana, na kwamba walipofika eneo la tukio askari wa jeshi hilo Sajenti Karata Ramadhan ndiye aliyeingia katika shimo hilo na kufanikiwa kuutoa mwili wa mzee huyo kwa kushirikiana na askari wenzake.

Kwa upande wao baadhi ya ndugu, majirani na viongozi wa eneo hilo wamesema kuwa siku tatu kabla ya tukio, mzee huyo alionekana kama amechanganyikiwa na kuwa wakati akiondoka nyumbani aliaga kwamba anakwenda kuoga.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz