Mzee alievamia Bank kuiba Dola 1 ili afungwe - EDUSPORTSTZ

Latest

Mzee alievamia Bank kuiba Dola 1 ili afungwe

Timothy Dean Alsip (50) wa Oregon Marekani aliwahi kuvamia Bank na kufanya tishio la kutaka kupora USD 1 (Tsh. 2319) alifanya hivyo makusudi ili ipigwe simu Polisi na kweli Benki waliipiga huku yeye akikaa kwenye sofa kuwasubiri.

Lengo lake lilikuwa afungwe Gerezani ili akapate msaada wa matibabu, Timoth alikuwa ni ombaomba mwenye maisha magumu ambaye hakuwa hata na pa kuishi, siku ya tukio Benki alimtishia Muhudumu ampe $ 1 na akigoma atampiga risasi, Muhudumu alikimbizwa Hospitali kwa presha na Timothy akahukumiwa miezi isiyozidi 12 Gerezani.

Akiwa Mahakamani licha ya kukiri kufanya hivyo makusudi ili aende Gerezani kwa nia ya kupata matibabu ya bure ya mgongo na miguu, aliiambia Mahakama kuwa kama kifungo kitakuwa kifupi akitoka atarudia tena kosaJe wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz