Mwanaharakati Aliyegoma Kula Gerezani Kwa Siku 19 Aachiwa Huru - EDUSPORTSTZ

Latest

Mwanaharakati Aliyegoma Kula Gerezani Kwa Siku 19 Aachiwa HuruMOROCCO
Mwanahistoria na Mwanaharakati, Maati Monjib aliyekuwa jela na kugoma kula kwa siku 19 ameachiwa huru baada ya kushikiliwa kwa kipindi cha miezi mitatu

Monjib anayefahamika kwa msimamo wake wa kuzikosoa Mamlaka Nchini Morocco alikamatwa Desemba 29, 2020 kama hatua ya uchunguzi wa awali kuhusu tuhuma za kuhusishwa na utakatishaji fedha

Mwanaharakati huyo anasema tuhuma dhidi yake zimetengenezwa na sasa kwakuwa ameachiwa huru atapigania uhuru wa wafungwa wengine wanaoshikiliwa kutokana na mitazamo yao.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz