Mwanahamisi wa Simba Queens Kwenda Morocco Leo-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Mwanahamisi wa Simba Queens Kwenda Morocco Leo-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

Leo Machi 13, 2021 Jumamosi nahodha na straika wa Simba Queens na Twiga Stars, Mwanahamis Omary anatarajia kusafiri kwenda nchini Morocco.

 

Taarifa za ndani kutoka Simba zinasema kila kitu kuhusu yeye kuondoka kipo tayari kinachosubiriwa ni siku na muda wa kusepa hapa nchini ufike.

Championi lilimtafuta Mwanahamisi ili kujua mpango huo ulipofikia ambapo alisema: “Ukweli hilo dili lipo, lakini meneja wangu ndiye mwenye uwezo wa kuzungumza ukweli nini kinaendelea.

 

”Kwa upande wake, Meneja wa Simba Queens, Seleman Erassy Makanya alisema: “Subiri kila kitu kikamilike kisha nitakupa majibu ya nini kipo juu ya dili hilo, kwa sasa achana na mambo ya mitandao.”

Stori: Issa Liponda, Dar es Salaam

The post Mwanahamisi wa Simba Queens Kwenda Morocco Leo appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz