Mwambusi Aanza Kwa Kishindo Yanga-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Mwambusi Aanza Kwa Kishindo Yanga-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

KAIMU Kocha Mkuu wa Yanga, Juma Mwambusi, ameanza kwa spidi ya aina yake katika kikosi hicho akiweka program ya kufanya mazoezi mara mbili kwa siku ikiwa ni maalum kujenga utimamu wa mwili.

 

Kocha huyo ameweka program hizo kwa mastaa wake ambazo alianza kuzifanyia kazi tangu Jumatatu ya wiki hii ikiwa ni baada ya kuona mapungufu ndani ya kikosi hicho.

 

Mwambusi alikabidhiwa mikoba ya kuinoa Yanga kwa mara nyingine baada ya uongozi wa timu hiyo kumvunjia mkataba aliyekuwa kocha wake, Cedric Kaze.

 

“Kwa siku hizi programu ambayo tunaifanya ni kufanya mazoezi mara mbili kwa siku, kisha Ijumaa tutafanya mara moja.“

 

Programu hii imelenga kurejesha utimamu wa mwili kwa wachezaji lakini pia kujenga uwezo wa pamoja kama timu kutokana na mapungufu ambayo yalionekana kwenye kikosi.

 

“Tunajiandaa kupambana na yeyote yule atakayekuja mbele yetu, kwani siku zote kocha unapoandaa timu huwa hatutazamii timu moja tu, natoa mazoezi ili ligi itakapoanza tuwe na uhakika wa kupata pointi tatu mbele ya yeyote.“

 

Hadi sasa nina imani kubwa endapo tutapata muda mrefu huu wa kuwa pamoja hakika tutakuwa na nafasi kubwa ya kufanya vizuri kwenye mzunguko ujao,” alisema Mwambusi.

STORI: SAID ALLY NA MUSA MATEJA

The post Mwambusi Aanza Kwa Kishindo Yanga appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz