Mtoto alielelewa na nyani kwa miaka miwili, tabia zake na vyakula anavyovipenda (+video) - EDUSPORTSTZ

Latest

Mtoto alielelewa na nyani kwa miaka miwili, tabia zake na vyakula anavyovipenda (+video)

Joseph Bukombe Mabula ni Mtoto ambaye amelelewa na nyani kwa zaidi ya miaka miwili katika pori la msitu wa Bukombe Mkoa wa Geita, inadhaniwa ni baada ya kutupwa na Mzazi wake hadi hapo alipookotwa na Watu wa misitu na baadaye kukabidhiwa kwa Maafisa wa Ustawi wa Jamii.

Mwanzoni hakufahamika majina yake ila waliamua kumuita Mabula kwa kuwa alizaliwa msimu wa mvua kwa kabila la Wasukuma na Bukombe ndio msitu aliookotwa, kwa sasa Mabula analelewa na kituo cha Upendo Daima cha Malimbe Mwanza.

VIDEO:
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz