Msola: Sikumpigia Metacha, Simu Yangu Ilidukuliwa-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Msola: Sikumpigia Metacha, Simu Yangu Ilidukuliwa-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

MWENYEKITI wa Klabu ya Yanga, Mshindo Msola amesema kuwa namba yake walihack, ‘dukua’ jambo lililofanya aonekane amempigia mchezaji wa timu hiyo Metacha Mnata.

 

 

Kipa Mnata ambaye alikuwa langoni Machi 7, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid wakati ubao ukisoma Polisi Tanzania 1-1 Yanga aliokota nyavuni mpira wa Pius Buswita dakika ya 89.

 

 

Machi 8 aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwaaga mashabiki pamoja na viongozi kisha ujumbe huo aliufuta ambapo inaelezwa kuwa alipokea ujumbe kutoka kwa Msolla akimpa mzigo wa lawama.

 

 

Msola amesema kuwa hana tabia ya kuzungumza na wachezaji zaidi akiwafuata kambini huwa anatumia muda huo kuzungumza nao kwa pamoja na sio mchezaji mmoja na hana Utamaduni huo.

 

 

“Nilitumiwa taarifa ya kwanza niliitazama ila sikuelewa mpaka nilipotumiwa maelekezo na mtu mwingine kwamba inaelezwa nimenpigia simu Metacha jambo ambalo sio kweli.

 

 

“Meneja wa Metacha, Jemedar Said aliniambia na kunionyesha namba yangu, nilishangaa na kujua kwamba hii ni vita maana kama mpaka mtu anatumia namba yako kumpigia mtu sio sawa.

 

 

“Nina uhakika namba yangu walihack hata kama tukienda Tcra itaonyesha kwamba sikuwa mimi ambaye nilimpigia hiyo simu,” amesema Msolla.

The post Msola: Sikumpigia Metacha, Simu Yangu Ilidukuliwa appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.