Monalisa Atangazwa Kuwa Msemaji wa Simba-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Monalisa Atangazwa Kuwa Msemaji wa Simba-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

Machampioni watetezi wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara Simba Queens, wamemtangaza rasmi Msanii nguli wa filamu Bongo, Monalisa kuwa Msemaji wa timu hiyo.

 

Mlezi wa Simba Queens, Fatema Dewji amemtambulisha muigizaji huyo mashuhuri katika tasnia ya Filamu nchini na mwenye mafanikio makubwa kwenye upande huo kuwa Msemaji wa timu hiyo.

 

 

”Mlezi wetu Fatema Dewji (@fatemagdewji) amemkaribisha rasmi Monalisa (@monalisatz) kama msemaji wa simba queens tunaimani Monalisa atafanya kazi nzuri katika kueneza taarifa zote zinazohusiana na @simbaqueensctanzania kwenye jamii yetu.

 

 

Kwa uzoefu wa Monalisa tunaimani atakwenda kuwa msemaji bora wa timu yetu na uzoefu wake aliokua nao katika jamii. Karibu Simba Queens Msemaji Wetu πŸ‘ΈπŸ¦ @monalisatz ,” imeeleza taarifa hiyo.

The post Monalisa Atangazwa Kuwa Msemaji wa Simba appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz