Mo Dewji Atamani Mkataba wa Man United-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Mo Dewji Atamani Mkataba wa Man United-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

Mkataba mpya wa udhamani wa Jezi ambao Klabu ya Manchested United imesaini na Teamviewer umemfanya mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji kuzungumza akionyesha matamanio ya kupata mkataba kama huo kwani ule wa sasa kati yao na Sportpesa hauipi klabu hiyo hata asilimia moja.

 

 

“Manchester United imekubali mkataba wa udhamini wa jezi wenye thamani ya $305 milioni kwa miaka mitano. Simba haipati angalau 1% ya kiasi hicho kutoka SportPesa. Muda utafika wa kuangalia faida nzuri”

 

 

Simba kwa sasa inadhaminiwa na Sportpesa baada ya kusaini mkataba wa shilingi bilioni 4.96 mwezi Mei mwaka wa 2017.

 

 

Pamoja na kwamba mkataba huo haukuwa wazi sana kwa umma kuhusu udhamini wa jezi, uligusa pia mambo mbalimbali ya maendeleo ya klabu hiyo.

 

 

Mkataba uliitaka kila mwaka Sports pesa kuipatia Simba zaidi ya shilingi milioni 800 huku mwaka wa mwisho wa mkataba ikipokea bilioni 1 na milioni 80.

 

 

Na iwapo itashinda Klabu bingwa Afrika, Sports pesa ingeitengea simba shilingi milioni 250 za ubingwa kama ilivyoipatia shilingi milioni 100 kwa kuchukua ubingwa wa Tanzania msimu uliopita.

 

The post Mo Dewji Atamani Mkataba wa Man United appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz