Mbaroni kwa kumuua mtoto kwa kumtumbukiza kwenye jaba la maji - EDUSPORTSTZ

Latest

Mbaroni kwa kumuua mtoto kwa kumtumbukiza kwenye jaba la majiJeshi la Polisi mkoani Manyara linamshikilia Tluay Shauri (46) mkazi wa kata ya Dareda kwa kosa la kumuiba ndani mtoto wa jirani yake mwenye  umri wa miezi mitatu na kumuua kwa kumtumbukiza kwenye Jaba lenye maji wakati mama wa kichanga hicho alipomlaza na kumuacha ndani wakati alipokuwa amekwenda kuchota maji kwaajili ya kufua nguo.

Kamanda wa polisi mkoa wa Manyara Paul Kasabago amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba mtu huyo amekiri kutenda kitendo hicho na tayari ameshakamatwa, huku tukio hiko likihusishwa  na ugomvi baina ya familia hizo.

Kamanda kasabago  amesema mtumiwa amekiri kosa akiwa chini ya jeshi polisi na kwamba chanzo cha tukio hilo ni ugomvi baina yake na wazazi wa Kichanga hicho. 

Kufuatia tukio hilo wananchi wakiwemo majirani wa wazazi wa mtoto huyo wameomba hatua kali zichukuliwe kwa muhusika.

Mtuhumiwa huyo atafikishwa mahakamani mara baada ya uchunguzi kukamilika.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz