Man United Kumpa Mkataba Mpya Ole-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Man United Kumpa Mkataba Mpya Ole-Michezoni leo

KLABU ya Manchester United inajiandaa kumuongezea mkataba mpya Ole Gunnar Solskjaer kuendelea kuwa kocha wa timu hiyo.Imeelezwa kuwa mazungumzo ya mkataba huo mpya yataanza hivi karibuni licha ya kuwa bado ana mkataba wa miaka miwili kuendelea kuwa bosi wa timu hiyo.

 

Kwa maana hiyo, Solskjaer anatarajiwa kupata nyongeza ya mshahara kutoka ule wa sasa anaolipwa pauni 7m (Sh bil 22.1) kwa mwaka.

United kwa sasa ipo katika nafasi ya pili kwenye msimamo wa Premier League ikiwa nyuma ya wapinzani wao wa jiji moja, Manchester City ambao wana mwendelezo mzuri katika mbio za ubingwa wa Premier msimu huu.Mkurugenzi Mtendaji wa United, Richard Arnold hivi karibuni alimsifia Solskjaer kwa kazi kubwa ambayo ameifanya.

 

Arnold alinukuliwa akisema: “Unapokuwa ndani ya klabu na unaona maendeleo na mwenendo wake ulivyo anastahili kupata mafanikio, na hilo linanifurahisha.”Tangu alipoteuliwa kuwa kocha wa timu hiyo, Desemba 2018, Solskjaer hajafanikiwa kushinda taji lolote.

The post Man United Kumpa Mkataba Mpya Ole appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz