MAN CITY YAWAPIGA SOUTHAMPTON 5-2 NA KUJIWEKA SAWA KILELENI -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

MAN CITY YAWAPIGA SOUTHAMPTON 5-2 NA KUJIWEKA SAWA KILELENI -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

TIMU ya Manchester City jana imeibuka na ushindi wa 5-2 dhidi ya Southampton katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad, Manchester.
Mabao ya Man City yalifungwa na Kelvin De Bruyne mawili dakika ya 15 na 59, Riyad Mahrez mawili dakika ya 40 na 55 na Ilkay GΓΌndogan dakika ya 45, wakati ya Southampton yalifungwa na James Ward-Prowse kwa penalti dakika ya 25 na Che Adams dakika ya 56.
Man City wanafikisha pointi 68 baada ya ushindi huo katika mchezo wa 29 na kuendelea kuongoza ligi kwa pointi 14 zaidi ya Manchester United wanaofuatia ambao hata hivyo wana mechi moja mkononi
   
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.