Mahakama yamuamuru Rais wa Brazil kumlipa fidia mwandishi kwa kumdhalilisha - EDUSPORTSTZ

Latest

Mahakama yamuamuru Rais wa Brazil kumlipa fidia mwandishi kwa kumdhalilishaMahakama Nchini Brazil imemuamuru Rais Jair Bolsonaro kumlipa fidia Mwandishi wa Habari wa kike kwa kumtolea maneno ya kumdhalilisha

Rais Bolsonaro alitoa kauli dhidi ya Patricia Campos Mello wa gazeti la Folha de S.Paulo, akidai alihonga rushwa ya ngono kwa chanzo chake cha Habari ili kimpe taarifa zenye mlengo hasi dhidi yake

Jaji amesema maneno ya Rais Bolsonaro yalilenga kumvunjia heshima Mwandishi huyo na aliamua amlipe Dola 3,473 (Takriban Tsh. 8,053,887) kama fidia, na anaweza kukata rufaa dhidi ya uamuzi huo.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz