Magufuli Asimamisha Mazoezi Yanga SC-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Magufuli Asimamisha Mazoezi Yanga SC-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

KUFUATIA kifo cha cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, uongozi wa Yanga, umelazimika kusitisha mazoezi yake ya kujiandaa na mechi za Ligi Kuu Bara, hadi pale shughuli za kuaga kwa mwili wa marehemu jijini Dar es Salaam zitakapokamilika.

 

Yanga iliingia kambini tangu Marchi 13 mwaka huu, ikiwa chini ya Juma Mwambusi aliyeteuliwa kukaimu nafasi ya kocha wao wa zamani Cedrick Kaze ambaye alifutwa kazi takribani wiki tatu akiwa jijini Arusha baada ya kutoka sare ya bao 1-1, dhidi ya Polisi Tanzania.

Akizungumza na Championi Jumatatu, Ofisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli ameweka bayana kuwa, wamesitisha ratiba za mazoezi ya timu hiyo, tangu Machi 18 mwaka huu, mara tu baada ya Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kutangaza kifo cha Hayati Dkt. Magufuli, hivyo watatoa taarifa za kurejea kwa mazoezi tena mara tu baada ya shughuli za kuaga mwili kumalizika Dar es Salaam.

 

“Ifahamike kwamba hatujavunja kambi, ila tumesitisha ratiba za mazoezi ya timu, hadi hapo baadaye, baada ya shughuli za kuaga mwili wa kiongozi wetu kukamilika hapa jijini Dar es Salaam, tumelazimika kufanya hivyo mara tu baada ya kutangazwa kwa kifo.

 

“Imekuwa ni ngumu sana kwetu kuendelea na program za mazoezi hivyo tumesitisha kwa muda hadi hapo baadaye tutakapolitazama hili upya tutatoa taarifa za lini tutarejea mazoezini,” alisema Bumbuli.

 

 

The post Magufuli Asimamisha Mazoezi Yanga SC appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz