Luis Miquissone, Zimbwe Wachaguliwa Kikosi Bora Afrika-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Luis Miquissone, Zimbwe Wachaguliwa Kikosi Bora Afrika-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

NYOTA wawili wa Klabu ya Simba, Luis Miquissone na Mohammed Hussein ‘Zimbwe’, wametajwa katika kikosi bora cha wiki cha michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika ambacho kina wachezaji 16 kutoka klabu sita.

 

Jumanne wiki hii Simba iliibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Al Merrikh ya Sudan ambapo Luis na Zimbwe walihusika kwa kiasi kikubwa katika ushindi huo.Luis akifunga bao moja na kuasisti bao la Chris Mugalu huku Zimbwe yeye akifanikiwa kufunga bao moja.

 

Ushindi huo umeifanya Simba sasa kufikisha pointi 10 na kuongoza msimamo wa Kundi A la michuano hiyo mikubwa zaidi kwa ngazi ya klabu barani Afrika.

SIMBA

Akizungumza na Championi Jumamosi, kuhusu mafanikio hayo meneja wa kikosi cha Simba, Patrick Rweyemamu, alisema: “Haya ni mafanikio makubwa kwetu, mara ya kwanza tulikuwa na Luis peke yake lakini wakati huu tuna ongezeko la mchezaji mmoja, hii inazidi kuonyesha ukubwa wetu na ile ‘next level’ tunayoimaanisha.”

Joel Thomas,Dar es Salaam

The post Luis Miquissone, Zimbwe Wachaguliwa Kikosi Bora Afrika appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz