Luis: Kuondoka kwa Magufuli Hasara kwa Afrika-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Luis: Kuondoka kwa Magufuli Hasara kwa Afrika-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

KUTOKANA na kifo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli kilichotangwazwa na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Machi 17, kiungo wa Simba, Luis Miquissone amesema kuwa ni hasara kwa Arika na Dunia kiujumla.

 

 

Kiungo huyo raia wa Msumbuji amesema kuwa ni wakati mgumu ambao Watanzania wanapitia kwa sasa.

 

 

Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika:”Hasara kubwa kwa watu wa Tanzania, Afrika na ulimwengu wote. Mungu aipe familia na watu wa Tanzania nguvu wakati huu mgumu.”

The post Luis: Kuondoka kwa Magufuli Hasara kwa Afrika appeared first on Global Publishers.No comments:

Post a Comment