LIVERPOOL WAIPIGA LEIPZIG 2-0 TENA NA KUTINGA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

LIVERPOOL WAIPIGA LEIPZIG 2-0 TENA NA KUTINGA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

MABAO ya Mohamed Salah dakika ya 70 akimalizia pasi ya Diogo Jota na Sadio Mane dakika ya 74 akimalizia pasi ya Divock Origi jana yaliipa Liverpool ushindi wa 2-0 dhidi ya RB Leipzig katika mchezo wa Hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya jana Uwanja wa Puskas Arena Jijini Budapest nchini Hungary.
Kwa matokeo hayo, Liverpool inatinga Robo Fainali kwa ushindi wa jumla wa 4-0 kufuatia ushindi wa 2-0 kwenye mchezo wa kwanza Februari 16 hapo hapo Budapest, tena hao hao Salah na Mane wakifunga
  


No comments:

Post a Comment