Live: Manara -Mechi Dhidi Ya Al Merrikh Kupigwa Bila Mashabiki-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Live: Manara -Mechi Dhidi Ya Al Merrikh Kupigwa Bila Mashabiki-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

KLABU ya Simba SC, Leo Machi 13 wanazungumza na waandishi wa habari kuelekea mchezo wao wa Klabu bingwa Afrika dhidi ya Al Merrikh unaotarajiwa kupigwa Machi 16.

“Mechi yetu na Al Merrikh ipo pale pale lakini wakati tukiendelea na maandalizi tumepokea taarifa kutoka TFF ambayo imetolewa na CAF kwamba tucheze bila mashabiki.”

“Mnawajua mashabiki wetu lakini hakuna namna tutacheza bila mashabiki. Wanaruhusiwa maafisa na watu wachache ambao wanahusika na mchezo.”

“Simba imezoea kucheza bila mashabiki ikiwa nje ya nchi lakini sikumbuki kama hapa nchini tumewahi kucheza bila mashabiki. Tunawaomba radhi mashabiki kwa mechi hii sababu ni maamuzi ya CAF ambao ndio wenye mamlaka ya soka Afrika.”- Haji Manara.

 

“Itakuwa ni vita ya kimya kimya kama ambavyo Simba anawinda. Wachezaji wetu wamezoea kucheza mbele ya mashabiki na wamezoea kucheza bila mashabiki, naamini wana uzoefu wa kutosha kucheza kwenye hali kama hiyo.”

“Wanachoweza kufanya kwasasa mashabiki ni kuwaombea wachezaji na kuwaonyesha wachezaji hatupo uwanjani lakini tunawaombea na kuwapa nguvu.”

“Itakuwa ni vita ya kimya kimya kama ambavyo Simba anawinda. Wachezaji wetu wamezoea kucheza mbele ya mashabiki na wamezoea kucheza bila mashabiki, naamini wana uzoefu wa kutosha kucheza kwenye hali kama hiyo.” amesema Haji Manara.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

The post Live: Manara -Mechi Dhidi Ya Al Merrikh Kupigwa Bila Mashabiki appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz