LEWANDOWSKI APIGA HAT TRICK BAYERN MUNICH YAICHAOA DORTMUND 3-0-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

LEWANDOWSKI APIGA HAT TRICK BAYERN MUNICH YAICHAOA DORTMUND 3-0-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

 

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Poland, Robert Lewandowski jana amefunga mabao matatu Bayern Munich ikiibuka na ushindi wa 4-2 dhidi ya Borussia Dortmund katika mchezo wa Bundesliga Uwanja wa Allianz Arena Jijini Munich – bao lingine la Bavarian likifungwa na Leon Goretzka, wakati ya Dortmund yalifungwa na kinda nyota wa miaka 20, Mnorway Erling Haaland 

No comments:

Post a Comment