Kocha wa Yanga Ataja Anayeihujumu Timu Hiyo-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Kocha wa Yanga Ataja Anayeihujumu Timu Hiyo-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

ALIYEKUWA kocha wa magolikipa wa Klabu ya Yanga, Mrundi, Vladmir Niyonkuru amefunguka mambo mengi baada ya benchi la ufundi la klabu hiyo kuvunjwa siku ya juzi ya tarehe 8 Machi 2021 kufuatia mwenendo wa matokeo yasiyoridhisha kwa viongozi na wanachama wa timu hiyo.

 

 

Akizungumzia namna benchi hilo lilivyoondolewa, Niyonkuru amesema; “Hawajatuitisha sisi kwa pamoja, kila mtu aliitwa kivyake. Mimi wakaniambia wakiangalia timu inavyoenda kwa sasa, tumeamua tusitishe mkataba na wewe. Mimi sikuuliiza zaidi sababu ila iliwapa mkono na kushukuru na nikaondoka zangu.”

 

 

“Nadhani kesho (leo) tutakaa kuzungumzia kuhusu kumalizana kimkataba, maana ndiyo kwanza nimefika Dar kutokea Arusha.”

 

 

Baada ya kusema hayo, kocha huyo aliyejiunga na Yanga mwezi Agosti mwaka jana, aligusia juu ya moja ya kiongozi anayeiharibu tiu hiyo ikiwemo kuingiliwa kwenye majukumu yao kama benchi la ufundi.

 

 

“Mimi siwezi kumtaja huyo tu lakini yupo, alijaribu kufanya hivyo. Nawaambia Wanayanga na mashabiki wake wakiwa wanachagua viongozi, wachague viongozi walio sahihi.” Maelezo yake hayo yaliendelea na hata kukiri kuwa kuna kiongozi anayeiharibu timu huyo ila hayupo tayari kumtaja.

 

 

“Nakwambia kuna kitu, kuna kitu kipo nyuma na kuna mtu ana haribu hiyo timu ninyi waandishi mfanye uchunguzi mtajua.”

 

 

Maneno hayo yamezidi kuwaaminisha wadau wa soka nchini kuwa, kwenye Uongozi wa Klabu ya Yanga kuna mapungufu mengi baina ya viongozi wa juu jambo linalochangia timu hiyo kukosa utulivu hivi sasa na kupelekea kupata matokeo mabaya.

The post Kocha wa Yanga Ataja Anayeihujumu Timu Hiyo appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz