Kocha huyu Kurithi Mikoba ya Kaze Yanga-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Kocha huyu Kurithi Mikoba ya Kaze Yanga-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

HUBERT Velud, Raia wa Ufaransa inaelezwa kuwa yupo kwenye mazungumzo na baadhi ya mabosi wa Yanga wakiwa na mpango wa kumpa dili la kukinoa kikosi hicho ambacho kwa sasa kipo chini ya Kaimu Kocha, Juma Mwambusi.

 

 

Velud mwenye umri wa miaka 61 anatajwa kupewa chapuo na baadhi ya viongozi wa Yanga kwa kuwa anauzoefu na soka la Afrika.

 

Amewahi kuwa Kocha Mkuu wa TP Mazembe msimu wa 2016, Etoile Sportive du Sajel msimu wa 2017, pia USM Alger na ES Setif jambo linalowapa nguvu viongozi wa timu hiyo kumpa mkataba. Raia huyo wa Ufaransa ambaye nafasi aliyokuwa anacheza ilikuwa ni kipa anapewa chapuo la kuwa mrithi wa Kaze.

 

 

Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Yanga, Mshindo Msolla amesema kuwa utaratibu wa kumpata mrithi wa Kaze unafanyika na hivi karibuni atatambulishwa kwa mashabiki.

 

 

“Kila kitu kuhusu kumpata mrithi wa Kaze kipo sawa na ipo kamati ambayo inashughulikia masuala ya upatikanaji wa kocha, huko CV zitatumwa na mchakato utafanyika kupitia kamati ya utendaji,” .

The post Kocha huyu Kurithi Mikoba ya Kaze Yanga appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz