Kloop: Tunapita Kwenye Mateso Makubwa Ndani ya Uwanja-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Kloop: Tunapita Kwenye Mateso Makubwa Ndani ya Uwanja-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

KUPOTEZA kwa kichapo mbele ya Fulham kumemfanya Kocha Mkuu wa timu hiyo Jurgen Klopp aweke wazi kuwa mateso ambayo wanapitia kwa sasa ni makubwa kwa kukosa matokeo ndani ya uwanja.

 

 

Liverpool wakiwa Uwanja wa Anfield ubao ulisoma Liverpool 0-1 Fulham na bao lilifungwa na Mario Lemina dakika ya 45.

 

 

Matokeo hayo kwa Liverpool yanawafanya wazidi kuwa kwenye wakati mgumu wa kutetea taji lao kwa msimu huu wa 2020/21 kwa kuwa wapo nafasi ya 8 na pointi zao ni 43 baada ya kucheza jumla ya mechi 28.

 

 

 

Wapinzani wao Fulham wapo nafasi ya 18 na pointi zao ni 26 kibindoni wote pia wamecheza jumla ya mechi 28 ndani ya Ligi Kuu England ambayo imekuwa na ushindani mkubwa.

 

 

Klopp amesema: “Haya maumiv ambayo tunapitia kwa sasa inatosha kwani matokeo yamekuwa sio mazuri, nina amini kwamba tutarejea kwenye ubora wetu hivi karibuni,” .

The post Kloop: Tunapita Kwenye Mateso Makubwa Ndani ya Uwanja appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.