Kiswahili chapendekezwa kutumika rasmi SADC - EDUSPORTSTZ

Latest

Kiswahili chapendekezwa kutumika rasmi SADC

 


 Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam

Lugha ya Kiswahili imependekezwa kuanza kutumika rasmi katika majadiliano kwenye vikao vya ngazi ya baraza la mawaziri na katika utendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).


Pendekezo hilo limewasilishwa na Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge katika kikao cha Makatibu Wakuu wa SADC kilichofanyika leo jijini Dar es Salaam kwa njia ya mtandao.


“Sisi kama Tanzania tumependekeza suala la lugha ya Kiswahili kutoka kwenye lugha ya kazi kwenye ngazi ya baraza la mawaziri hadi wakuu wa nchi na serikali wa SADC linabadilika na kuiwezesha lugha ya Kiswahili kuwa lugha rasmi kwenye utendaji wa SADC,” Amesema Balozi Ibuge.


Balozi Ibuge ameongeza kuwa, SADC wamekuwa wakitumia lugha za kikoloni kwa muda mrefu na kwa busara za wakuu wa nchi na Serikali wameamua kuanza kwa mpangilio ambapo lugha ya Kiswahili itaanza kutumika katika ngazi ya baraza la mawaziri pamoja na  vikao vya wakuu wa nchi, na kuishusha lugha hiyo kwenye sekta na kuingia rasmi katika matumizi ya SADC.


Kikao hicho ni maandalizi ya Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC unaotegemewa kufanyika tarehe 12, Machi jijini Dar es Salaam kwa njia ya mtandao.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.