Kila nikikumbuka Sauti ya Dkt. Magufuli natoka machozi- Wastara - EDUSPORTSTZ

Latest

Kila nikikumbuka Sauti ya Dkt. Magufuli natoka machozi- Wastara

Msanii wa Bongo Muvi Tanzania Wastara Leo afunguka namna alivyopokea kifo cha Hayati JPM akiwa Nyumbani kwake
 "Nakumbuka Mwaka 2018 Hayati JPM alinipigia simu nikiwa Nyumbani kwangu nikiwa sijiwezi Ni Mtu wa kulala Muda Wote nikiwa naugulia Mguu wangu".

Dkt.Magufuli Alinipa Moyo nizidi kumuomba mungu Ili anifanyie Wepesi nipone Haraka.

"Kila nikikumbuka Sauti ya Dkt. MAGUFULI natoka machozi maana Alikuwa anazungumza na mimi kama Baba yangu Mzazi".

"Ninachoniuma Zaidi Baadhi ya WASANII Wananichukia Nahisi ni kwa vile Viongozi wa Nchi yetu Wananisaidia kila ninapopata Matatizo"Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz