Kikosi Bora cha Mabingwa Afrika, Zimbwe, Luis Ndani-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Kikosi Bora cha Mabingwa Afrika, Zimbwe, Luis Ndani-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

NYOTA wawili wa kikosi cha Simba majina yao yameorodheshwa kwenye kikosi bora cha wiki kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi baada ya mechi nne kuchezwa.

 

Simba ikiwa kundi A inaongoza kundi hilo na ipo na pointi 10 haijaokota bao kwenye hatua ya makundi jambo ambalo ni rekodi kwa msimu huu wa 2020/21.

 

 

Wachezaji hao wawili ni kiungo Luis Miquissone pamoja beki mzawa Mohamed Hussein, ‘Zimbwe’ ambaye ana bao moja pia kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika huku Luis akiwa ametupia mabao mawili.

 

 

Wengine ni Denis Onyango, Mosa Lebusa na Lebohang Maboe hawa ni kutoka Klabu ya Mamelod Sundowns ambayo imetoa wachezaji watatu. Mouad Haddad, Diogenis Joao, Mehd Benaldida, Yasser Ibrahim,Mohamed Magoyafsha na Hamdou Elhouni.

The post Kikosi Bora cha Mabingwa Afrika, Zimbwe, Luis Ndani appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz