Kenya yapokea shehena ya chanjo ya Covid-19 - EDUSPORTSTZ

Latest

Kenya yapokea shehena ya chanjo ya Covid-19

Shehena ya chanjo ya Covid-19, dozi milioni 1.02 za Oxford-AstraZeneca imetua katika uwanja wa Jomo Kenyatta Jijini Nairobi nchini Kenya, ikitokea taifa la India.

Chanjo hizo zilizofika usiku wa kuamkia leo Machi 3, 2021, ni shehena ya kwanza kati ya chanjo milioni 3.56 zitakazopelekwa Kenya.

Aidha, taarifa kutoka Kenya zimeeleza kuwa chanjo hiyo itaanza kutolewa kesho kwa Wahudumu wa Afya, Walimu na walio na magonjwa mbalimbali.  

Kwa upande wa viongozi wa nchi ambao ni Rais Uhuru Kenyatta, Naibu Rais William Ruto na kiongozi wa upinzani Raila Odinga wanatarajiwa kupewa chanjo hiyo siku ya Jumamosi, Machi 6, 2021.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz