Kapombe: Simba Imejipanga-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Kapombe: Simba Imejipanga-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

BEKI wa kulia wa kikosi cha klabu ya Simba, Shomari Kapombe ametamba kuwa kikosi cha timu hiyo kimejipanga vizuri kuhakikisha kinafika mbali kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu.

 

 

Simba jana ilikuwa na kibarua kigumu cha mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi ugenini dhidi ya Al Merrikh ya Sudan, mchezo uliopigwa katika uwanja wa Al-Hilal nchini Sudani na kuisha kwa suluhu.

 

 

Simba inaongoza kundi lao baada ya kujikusanyia pointi saba baada ya kucheza michezo mitatu ya awali. Akizungumzia mipango yao kwenye michuano hiyo mikubwa barani Afrika kwa ngazi ya klabu, Kapombe amesema: “Tumekuwa na wakati mzuri msimu huu, ni jambo zuri na la kujivunia kwetu kama timu.

 

 

“Kikosi kimekuwa na ushirikiano mkubwa na bila shaka kuendana na plani ambazo tunazo naamini tutafika mbali katika michuano hii kulinganisha na misimu mingine tuliyoshiriki,”

The post Kapombe: Simba Imejipanga appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.