Kanye West na Kim Kardashian hawazungumzi baada ya mchakato wa talaka - EDUSPORTSTZ

Latest

Kanye West na Kim Kardashian hawazungumzi baada ya mchakato wa talaka

Kanye West na Kim Kardashian hawazungumzi baada ya mchakato wa talaka. Mtandao wa Page Six umeripoti kwamba hii imekuja baada ya Kanye kubadilisha namba yake ya simu na kumwambia Kim kwamba atakuwa akiwasiliana naye kupitia walinzi wake.

Chanzo kimoja kimeuambia mtandao huo kwamba Kanye (43) aliacha kuzungumza na Kim (40) hata kabla ya kuanza kwa mchakato wa talaka. Lakini licha ya utengano huo, wawili hao wameripotiwa kuwa wanaendelea kuwalea watoto wao Wanne kwa utaratibu wa pamoja yaani, Co-parenting.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz