JOSHUA NA FURY WASAINI MKATABA WA PAMBANO LAO-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

JOSHUA NA FURY WASAINI MKATABA WA PAMBANO LAO-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

MABONDIA Waingereza Anthony Joshua na Tyson Fury wamesaini mkataba wa Pauni Milioni 200 kwa ajili ya pambano la kuunganisha mataji ya uzito wa juu – Promota wa Joshua, Eddie Hearn ametangaza jana.
Joshua atatetea mataji yake ya WBA, IBF na WBO dhidi ya bingwa wa WBC, Fury katika tarehe itakayotajwa baadaye.
Joshua amepoteza pambano moja tu kati ya 25 aliyocheza akipigwa na Andy Ruiz Jr Juni mwaka 2019, wakati Fury ana droo moja tu na Deontay Wilder katika mapambano yake 32 PICHA ZAIDI GONGA HAPAJe wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz