Jiji la Minneapolis kuilipa familia ya Floyd dola milioni 27 - EDUSPORTSTZ

Latest

Jiji la Minneapolis kuilipa familia ya Floyd dola milioni 27
Jiji la Minneapolis katika jimbo la Minnesota nchini Marekani limefikia makubaliano ya fidia na familia ya George Floyd, mwanamme mweusi aliyekufa akiwa mikononi mwa polisi mzungu mwezi Mei mwaka jana. 
Mawakili wa familia hiyo wamesema jiji litailipa dola milioni 27, ambazo ni nyingi zaidi kuwahi kutolewa katika historia ya Marekani kama fidia kwa kifo kilichotokea kwa njia za kihalifu. 

Polisi anayetuhumiwa kumuua Floyd, Derek Chauvin anakabiliwa na mashtaka ya kuuwa bila kupanga, ambayo yalinaswa katika mkanda wa vidio yakidhihirisha uonevu wa kibaguzi uliokita mizizi nchini Marekani. 

Wakili wa familia ya Floyd, Ben Crump amesema ukweli kwamba fidia kubwa zaidi kwa kifo kilichosababishwa na uhalifu imetolewa kwa maisha ya mtu mweusi, ni ishara yenye nguvu inayotuma ujumbe kwamba maisha ya mtu mweusi yana thamani nchini Marekani.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz