Ishu ya Saido Yanga Mapya Yaibuka-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Ishu ya Saido Yanga Mapya Yaibuka-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

UONGOZI wa Yanga umewaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo kwa kuwaambia kuwa kiungo wao mshambuliaji, Mrundi Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’ ni mali yao na badala yake kuachana na proganda zinazoendelea.

 

Hiyo ikiwa siku moja imepita tangu taarifa zienee za kiungo huyo kusaini mkataba wa miaka miwili kuichezea KCCA inayoshiriki Ligi Kuu ya Uganda.

 

Nyota huyo ambaye yupo nje ya uwanja tangu michuano ya Kombe la Mapinduzi iliyofanyika visiwani Zanzibar Januari, mwaka huu, wiki moja iliyopita aliondoka nchini na kurudi kwao Burundi.

 

Akizungumza na Spoti Xtra, Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Yanga, Hassani Bumbuli, alisema Saido ni mali yao na juzi alizungumza naye.Bumbuli alisema kuwa, kiungo huyo amesikitishwa na taarifa hizo ambazo kwake hazijamfurahisha huku akitamani kupona haraka ili arejee uwanjani kuipambania timu yake.

 

“Mara ya mwisho kuongea na Saido ni Jumatatu kwa njia simu na mimi ndiye niliyempigia, kikubwa ni kutaka kufahamu maendeleo yake akiwa nyumbani kwao Burundi.“

 

Aliniambia yupo gym, lakini nilizungumza naye kidogo kabla ya kuendelea na mazoezi na kikubwa nilimfahamisha kuhusiana na taarifa hizo, kiukweli alisikitishwa sana,” alisema Bumbul

The post Ishu ya Saido Yanga Mapya Yaibuka appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz