IDDI SULEIMAN 'NADO' APIGA MBILI, AYOUB LYANGA MOJA AZAM FC YAWACHAPA IHEFU SC 3-0 LIGI KUU CHAMAZI-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

IDDI SULEIMAN 'NADO' APIGA MBILI, AYOUB LYANGA MOJA AZAM FC YAWACHAPA IHEFU SC 3-0 LIGI KUU CHAMAZI-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB MABAO ya Iddi Suleiman 'Nado' dakika ya tisa na 90 na Ayoub Lyanga dakika ya 52 jana yaliipa Azam FC ushindi wa 3-0 dhidi ya Ihefu SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. 
Azam FC inafikisha pointi 44 baada ya kucheza mechi 24, ingawa inabaki nafasi ya tatu ikizidiwa pointi mbili na mabingwa watetezi, Simba SC ambao pia wana mechi nne mkononi.
KMC inafikisha pointi 35 baada ya ushindi huo katika mchezo wa 24 pia, ingawa inabaki nafasi ya tano ikizidiwa pointi nne na Biashara United inayshika nafasi ya nne.

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.