Gomes Avunja Kibabe Rekodi ya Aussems Simba-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Gomes Avunja Kibabe Rekodi ya Aussems Simba-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

KOCHA wa Simba, Didier Gomes, amefanikiwa kuvunja rekodi ya aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Mbelgiji, Patrick Aussems, baada kucheza mechi mbili za ugenini katika hatua ya makundi bila ya kupoteza.

 

Gomes amevunja rekodi hiyo baada ya kujiunga na Simba akitokea Al Merrikh ya Sudan ambapo hadi sasa hajapoteza mchezo wowote katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Simba msimu huu kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi, imecheza mechi tatu, ikifanikiwa kushinda mbili na kutoka sare moja.

Chini ya kocha huyo raia wa Ufaransa, Simba ikiwa ugenini, imeshinda dhidi ya AS Vita, kisha ikatoka suluhu na Al Merrikh ambayo imekuwa ni rekodi tofauti na wakati wa Aussems msimu wa 2018/19.

 

Katika msimu wa 2018/19, licha ya Simba kufanikiwa kutinga hatua ya robo fainali, lakini haikushinda mchezo wowote wa ugenini hatua ya makundi ambapo ilifungwa mabao 5-0 na AS Vita, kabla ya kufungwa tena na Al Ahly mabao 5-0, huku ikichapwa 2-0 na 2-0 na JS Soura.

STORI NA BRAHIM MUSSA

The post Gomes Avunja Kibabe Rekodi ya Aussems Simba appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.