GHANA WATWAA UBINGWA WA AFCON U20 BAADA YA KUIPIGA UGANDA 2-0 MAURITANIA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

GHANA WATWAA UBINGWA WA AFCON U20 BAADA YA KUIPIGA UGANDA 2-0 MAURITANIA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
TIMU ya Ghana imetwaa ubingwa wa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON U20) baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Uganda jana Uwanja wa Olimpiki wa Nouakchott nchini Mauritania.
Mabao ya Ghana jana yalifungwa na Daniel Afriyie Barnieh dakika ya 22 na 51 na – hilo linakuwa taji lao la pili baada ya lile la 2009 nchini Rwanda na la nne kwa ujumla tangu michuano hiyo inaiywa AFCON U21.
Ikumbukwe juzi Gambia ilifanikiwa kumaliza nafasi ya tatu baada ya ushindi wa penalti 4-2 kufuatia sare ya 0-0 na Tunisia Uwanja wa Cheikha Ould Boidiya Jijini Nouakchott.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.