FT: Simba 3-0 Al Merrikh – Uwanja Wa Mkapa..-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

FT: Simba 3-0 Al Merrikh – Uwanja Wa Mkapa..-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

TIMU ya SIMBA SC imefanikiwa kuondoka na alama tatu muhimu baada ya kuitungua Al Merreikh ya Sudan kwa bao 3-0 ambazo zinawapa nafasi ya kuendelea kuongoza kundi.

 

Mabao ya Luis Miquissone dakika ya 18, Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ dakika ya 39 na Chris Mugalu dakika ya 50 yameipa Simba SC ushindi wa 3-0 dhidi ya Al Merreikh ya Sudan katika mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya leo Machi 16,2021 Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

 

 

Kwa ushindi huo Simba SC inafikisha pointi 10 baada ya kucheza mechi nne na kuendelea kuongoza kundi hilo kwa pointi tatu zaidi ya mabingwa watetezi, Al Ahly ya Misri.

 

 

MATOKEO

Kundi A
Simba SC 3-0 Al Merrikh SC

⚽Miquissone 18′
⚽M Houssein 39′
⚽C. Mugalu 50′.

AS Vita Club 0-3 Al Ahly SC

⚽Sherif 7′
⚽Kafsha 19′
⚽T. Mohamed

Kundi B
Al Hilal 0-0 CR Belouizdad.

The post FT: Simba 3-0 Al Merrikh – Uwanja Wa Mkapa.. appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz