Fiston, Sarpong Wamvuruga Mwambusi-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Fiston, Sarpong Wamvuruga Mwambusi-Michezoni leo

UNAAMBIWAhuko kwenye kambi ya Yanga, Kaimu Kocha Mkuu wake, Juma Mwambusi, amejikuta akichanganyikiwa baada ya kupata taarifa za ghafla za kuugua kwa nyota wake tegemeo raia wa Burundi, Fiston Abdulazak na Michael Sarpong, raia wa Ghana.

 

Mwambusi aliingia kambini na kikosi hicho Jumatatu iliyopita baada ya kupisha shughuli fupi za kuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Joseph Magufuli, zilizofanyika mnamo Machi, 20 na 21 kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

 

Akizungumza na Championi Jumamosi, Mwambusi ameweka wazi kwamba, takriban siku tatu zilizopita alijikuta akipata presha baada ya wachezaji wake wawili, Sarpong na Fiston kujikuta kwa pamoja wakishindwa kuendelea na program za mazoezi yake, kufuatia kukumbwa na homa nzito.

 

“Namshukuru Mungu kwa sasa wachezaji wangu takriban wote wako sawa na kwamba tunaendelea na program zetu za mazoezi asubuhi na jioni, ingawa kwa siku takriban nne nilipata hofu baada ya wachezaji wangu wawili ambaye ni Fiston na Sarpong kukumbwa na homa.“

 

Jambo ambalo ninamshukuru Mungu sasa wanaendelea vyema na bila shaka hadi kufikia Jumatatu ijayo watakuwa wamerejea mazoezi na kuendelea na program za pamoja hadi pale tutakapoanza ratiba za kujiandaa na michezo ya ligi kuu mara baada ya siku za maombolezo kuisha,” alisema Mwambusi.

The post Fiston, Sarpong Wamvuruga Mwambusi appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz