Fiston Atangaza Kushusha Mvua ya Mabao Yanga-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Fiston Atangaza Kushusha Mvua ya Mabao Yanga-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, raia wa Burundi, Fiston Abdoul Razack, amesema kwa sasa mashabiki wa timu hiyo wakae mkao wa furaha kwani mvua ya mabao inakuja kutoka kwake.

 

Kauli hiyo ameitoa baada ya kufungua akaunti yake ya mabao ndani ya kikosi hicho katika mchezo wa Kombe la FA uliochezwa Uwanja wa Uhuru, Dar, Jumamsoi iliyopita dhidi ya Kengold ambapo Yanga ilishinda 1-0.

Mrundi huyu aliyetua Yanga katika usajili wa dirisha dogo msimu huu, amecheza mechi mbili za Ligi Kuu Bara na moja ya Kombe la FA ambapo amefanikiwa kufunga bao moja tu.

 

Akizungumza na Spoti Xtra, Fiston amesema: “Nimefurahi kufunga bao langu la kwanza tangu kujiunga na Yanga, huu ni mwanzo, mazuri mengi yanakuja mbele kwani nimejipanga kufunga katika kila mechi.”

The post Fiston Atangaza Kushusha Mvua ya Mabao Yanga appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz