Fisi 22 wameuawa, wameua watu watano, Mama asimulia mwanae alivyoliwa (+video) - EDUSPORTSTZ

Latest

Fisi 22 wameuawa, wameua watu watano, Mama asimulia mwanae alivyoliwa (+video)

Hiki ni kisa cha Mama Elizabeth mkazi  Wilayani Nyang’wale ambae anaeleza jinsi ambavyo fisi walifika nyumbani kwake na kumbeba Mtoto wake mmoja ambae walikuwa wamezaliwa mapacha hali ambayo imesababisha Serikali Wilayani humo kuchukua hatua za kuwawinda fisi hao na kuwaua baada ya kusababisha vifo vya watu watano.

Nae Mkuu wa Wilaya ya Nyang’wale Willison Shimo amewataka wananchi ndani ya Wilaya hiyo kutoa ushirikiano wakati fisi hao wakiwindwa.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz