Equatorial Yaifungashia Virago Stars Afcon-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Equatorial Yaifungashia Virago Stars Afcon-Michezoni leo

KUPOTEZA kwa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars mchezo wa kuwania tiketi ya kufuzu Afcon mbele ya Equatorial Guinea kumeifungashia jumla timu hiyo Kwenye michuano hiyo mikubwa Afrika.

Stars ilikubali kichapo cha bao 1-0 ikiwa ugenini ndani ya kundi J na kuifanya ibaki na pointi zake 4 baada ya kucheza jumla ya mechi 5.

Equatorial Guinea wanafikisha pointi 9 zinazowafanya waungane na Tunisia wenye pointi 13 ambao wanaongoza kundi J na wemefuzu Afcon.

Timu ya Stars chini ya Kim Poulsen imepoteza mchezo wake tatu na ina mchezo mmoja wa kukamilisha ratiba dhidi ya Libya wenye pointi tatu.

The post Equatorial Yaifungashia Virago Stars Afcon appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz