EPL: Chelsea Yatoshana Nguvu na Man United-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

EPL: Chelsea Yatoshana Nguvu na Man United-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

Mchezo kati ya Chelsea na Manchester United uliopigwa katika Dimba la Stamford bridge umemalizika kwa sare ya bila kufungana.

Kwa matokeo hayo Chelsea inaendelea kusalia katika nafasi ya 5 ikiwa na alama 44, huku Manchester United ikiendelea kuwa nafasi ya pili ikiwa na alama 50.

Matokeo ya michezo mingine ya awali, Crystal Palace imetoka sare ya kutokufungana na Fulham, Leicester City ikipigwa goli 3-1 na Arsenal huku Tottenham Hotspur ikiiadhibu Burnley goli 4-0.

The post EPL: Chelsea Yatoshana Nguvu na Man United appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz