Drake Amvaa Kanye West, Arudisha Uvumi wa Kuwahi Kutoka na Kim Kardashian - EDUSPORTSTZ

Latest

Drake Amvaa Kanye West, Arudisha Uvumi wa Kuwahi Kutoka na Kim Kardashian

Mambo yalishapoa lakini kama Drake anataka kuendelea kuchimbua makaburi kuhusu tuhuma za kuwahi kutoka kimapenzi na aliyekuwa mke wa Kanye West, Kim Kardashian.

Kwenye wimbo wake mpya "Wants and Needs" toka kwenye EP yake "Scary Hours 2" Drizzy amechana; "Yeah, I probably should go link with Yeezy, I need me some Jesus / But soon as I started confessin' my sins, he wouldn't believe us." mstari ambao wengi wameuhusisha na kuwa Drake amejibu kijanja kuhusu tuhuma hizo ambazo ziliwahi kutolewa na Kanye.

Ni kwamba Drake alipanga kwenda kukutana na Kanye West kwa sababu alihitaji msaada wa kiroho, lakini mara tu atakapoanza kuungama dhambi zake, Kanye asingewaamini kabisa. Swali likaibuka ni dhambi gani ambayo Drake ameifanya?Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz