Dida Mambo Magumu Ihefu-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Dida Mambo Magumu Ihefu-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

KAZI inaonekana kuwa nzito kwa kipa namba moja wa Klabu ya Ihefu FC, Deogratius Munish, ‘Dida’ kwenye kulinda ngome yake kwa kuwa amekuwa akitunguliwa kwenye mechi zake uwanjani.

 

Akiwa ni ingizo jipya dirisha dogo la Januari akiwa ni mchezaji huru amekaa langoni kwenye jumla ya mechi 9 na ameokota nyavuni jumla ya mabao 15.

 

 

Timu yake jumla imeruhusu mabao 34 baada ya kucheza mechi 24 hivyo inaonesha kuwa safu ya ulinzi ya Ihefu inayonolewa na Kocha Mkuu, Zuber Katwila bado haijawa kwenye ubora.

 

 

Kwenye msimamo ipo nafasi ya 17 imekusanya pointi 20 kwa msimu wa 2020/21. Katwila amesema kuwa bado wana nafasi ya kufanya vizuri kwenye mechi zilizobaki.

 

 

“Bado kuna mechi ambazo zipo hizo tutazitumia kwa ajili ya kuendelea kupata matokeo chanya hivyo mashabiki watupe sapoti,” .

The post Dida Mambo Magumu Ihefu appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz