Dereva na Mmiliki wa Gari Lililomgonga Tembo Serengeti Anatafutwa - EDUSPORTSTZ

Latest

Dereva na Mmiliki wa Gari Lililomgonga Tembo Serengeti Anatafutwa

Polisi Mkoani Mara, wanamtafuta dereva na mmiliki wa gari namba T 388 DUF, Toyota Kruger iliyomgonga tembo mwenye thamani ya Tsh. Milioni 30 katika hifadhi ya Taifa ya Serengeti

Tembo huyo amekufa baada ya kugongwa na gari alipokuwa akikatiza kwenda kunywa maji Ziwa Victoria kwenye barabara ya Mwanza kuelekea Musoma

Mkuu wa hifadhi ya taifa Serengeti, Masana Mwishawa, amewataka madereva wa Vyombo vya Moto kujali na kuzingatia usalama wa Wanyamapori kwenye maeneo ya hifadhiJe wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz